Serikali ya Tanzania chini ya rais John Magufuli ilipitisha waraka wa elimu namba 6 wa mwaka 2015 kuhusu utekelezaji wa elimu bure kwa shule sekondari. Waraka huo ulioanza kutekelezwa Januari 2016 ...
Tanzania imeanza utoaji elimu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kupitia televisheni na radio, ili kuwasaidia wanafunzi ambao sasa wako majumbani baada ya shule kufungwa kutokana na janga ...
Ni saa moja asubuhi yenye baridi kali na kundi la wanafunzi limewasili hivi punde katika shule ya Msingi na Sekondari ya Chanyanya, umbali wa zaidi ya saa moja kwa gari kuelekea kusini-magharibi mwa ...
Sera hiyo iliyofanyiwa maboresho imeanzisha somo la Ujasiriamali kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwapatia ujuzi utakaowawezesha kujiajiri au kufanya shughuli kwa kutumia elimu ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria na kisera za kutosha zinazohitajika katika kulinda haki ya wasichana wajawazito na wamama vijana ya kupata elimu na kurekebisha miaka ya ...
Tanzania: Tume ya Taifa ya uchaguzi imezitaka asasi za kiraia, kutohesabu kiwango cha wapiga kura waliohudhuria katika vituo vya kupigia kura, badala yake wazingatie kura zilizoharibika na kutoa zaidi ...
(Washington, DC) – Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa elimu wa kiasi cha $500 milioni dola za kimarekani kwa Tanzania bila kuitaka serikali kuachana na sera yake ya kuwafukuza shule wasichana ...